Wednesday, March 26, 2014

MASHINDANO YA KLABU BINGWA YA NGUMI ZA RIDHAA MKOA WA DAR YANAENDELEA PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI


Bondia Mussa Mchopanga kushoto akionesha ufandi wa kutupa makonde kwa Azizi Swalehe wakati wa michuano ya mashindano ya Klabu bingwa ya ngumi mkoa wa Dar es salaam Mchopanga alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza  

Bondia Azizi Swalehe akiwa chini baada ya kupigwa konde zito na Mussa Mchopanga aliyesimama Mchopanga alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza 

Bondia Maulidi Athumani kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na John Christia wakati wa mashindano ya klab bingwa ya mkoa wa Dar es salaam Christian alishinda kwa point

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU