Saturday, April 30, 2011

KOCHA WA NETIBOLI TAIFA AACHIA NGAZI

Kocha watimu ya TAIFA ya netiboli SIMON amesitisha mkataba wa kuendelea kuifundisha timu ya TAIFA ya netiboli baada ya CHANETA kushindwa kutekeleza mahitaji yake ikiwemo malazi,usafiri pamoja na huduma ya afya kwa kocha huyo.

Taarifa ya mwenyekiti wa CHANETA ANNA BAYI inasema kocha huyo katuma taarifa ya kusitisha mkataba na amekata kabisa kurudi nchini.

BAYI amesema kutoka na hilo CHANETA imeanza mchakato wa kutafuta kocha mwingine ili kuziba nafasi iliyoachwa na kocha huyo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU