Wednesday, May 11, 2011

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA AFZA

 Waziri  Mkuu,  Mizengo  PInda  kizungumza  na   baadhi  ya  washiriki  wa  Mkutano  wa  Kujadili  Maeneo  Huru  ya  Uwekezaji  Barani  Afrika  (AFZA) baada ya kufungua mkutano huo kwenye  ukumbi wa Mlimani  City,  jijini   Dar es salaam ,  May 11, 2011.  Kutoka kushoto ni  Dk.  Sule Yakubu Bassi  wa  Nigeria, Hakizimana Emmanuella   wa  Burundi  ,Profesa Samuel  Wangwe wa Tanzania, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr.  Mary Nagu na Kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Said Meck Sadiki   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda  akizungumza  na   Mwenyekiti wa Baraza la Maeneo huru ya Uwekezaji barani Afrika (AFZA), Dr. N. Abe (kulia)   na  Mkurugenzi  Mkuu  wa  EPZA  nchini,  Dr.  Abdelhelm  Meru  (wapili kulia) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Mary Nagu (kushoto) baadaa  ya kufungua  Mkutano wa  wa Kujadili maeneo huru ya uwekezaji  barani Afrika (AFZA) kwenye ukumbi wa Mlimani City  jijini Dar es salaam  May 11, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekit i wa Baraza la Maeneo huru ya Uwekezaji barani Afrika (AFZA), Dr. N. Abe (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa EPZA nchini, Dr. Abdelhelm Meru (wapili kulia) na Waziri wa Viwanda , Biashara na Masoko, Cyril Chami (wapili kushoto) baadaa ya kufungua Mkutano wa wa Kujadili maeneo huru ya uwekezaji barani Afrika (AFZA) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam May 11, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)












    

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU