Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa jengo la Kituo cha Upasuaji , Tiba na Mafunzo ya ugonjwa wa moyo kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili, Dar es salaam Mai 6, 2011. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Blandina Nyoni.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi na madaktari wa kitingo cha tiba ya figo kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili , Dar es salaam May 6 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Post a Comment