Friday, May 13, 2011

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MABALOZI KATIKA MKUTANO WA KUCHANGIA BAJETI YA SERIKALI IJAYO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Balozi wa Norwey nchini, Ingunn Klepsvik katika  mkutano kati ya serikali na wawakilishi wa nchi wahisani wa kuchangia bajeti ya  serikali ijayo  uliofanyika  kwenye  ukumbi wa hateli ya St. Gaspar   Mjini Dodoma,  May 13, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipofungua  mkutano kati ya  serikali na  wawakilishi wan chi wahisani ambazo zimekubali kuisaidia Tanzania kwene bajeti yake ijayo. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU