Tuesday, June 14, 2011

WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Magharibi na Naibu Waziri wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole- Mideye kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 14, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Mbunge wa Arumeru Magharibi na Naibu Waziri wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole- Mideye kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 14, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU