Baadhi ya wadau wa MULTCHOISE TANZANIA wakiendelea kupata msosi wa kusherehekea miaka kumi ya MULTCHOISE TANZANIA
Kampuni ya multchoice TANZANIA ambayo inasherehekea kutimiza miaka kumi tangu kuanzisha huduma zake nchini TANZANIA imesema itaendeela kuongeza ubora wa vipindi vyake vya michezo.
Akizungumza na waandsihi wa habari jijini DSM,meneja uhusiano wa kampuni hiyo BABRA KABONGI amesema kuwa wameamua kuwaenzi wateja wao ambao wengi wao ni wapenzi wa michezo.
Katika hatua nyingine,KABONGI amesema kuwa wataanza kuonyesha michuano ya kimataifa ya TUSKER CHALENGE CUP itakayoanza kutimua vumbi ahapo kesho jijini DSM.
0 maoni:
Post a Comment