Thursday, December 30, 2010

JAY DEE ASAINI MKATABA WA KIMATAIFA WA KUMUANDALIA MATAMASHA NJE YA NCHI

                                 Mwanamuziki JAY DEE akionyesha maji yake mapya yanayokwenda kwa jina la JAY DEE
                                                         JAY DEE akiongea na waandishi wa habari
                                 VICK mwandishi wa mwananchi akiwa na MWANI mwandishi wa DIMBA wakifurahia maji mapya ya JAY DEE
                                                          MICHUZI akiwa na mwanamitindo MATATA
                             Wanamitindo katika pozi
                                  VICK mwandishi wa mwananchi hakukosa
Mwanamitindo MATATA akiwa ameshika maji yanayoitwa JAY DEE .

Mwanamuziki LADY JAYDEE ameingia mkataba na kampuni ya muziki ya kimataifa ya ROCKSTARS itakayomwandalia matamasha ya kimataifa kwa mwaka 2011

Akiongea wakati wa chakula cha mchana na wadau wa muziki jijini DSM hii leo JAY DEE amesema kutokana na mkataba huo, analazimika kufanya shoo moja kwa wiki na bendi yake ya MACHOZI kwa mwaka 2011 ili ajikite zaidi katika matamasha ya kimataifa

Katika hatua nyingine mwanadada huyo amezindua maji yenye lebo ya jina lake ambapo pia mapema mwakani anatarajia kuzindua album yake mpya itakayokwenda sambamba na uzinguzi wa mgahawa wake.

1 maoni:

Anonymous said...

Da Jane naomba mail yako kuna kitu naomba unisaidie nipe kupitia yangaafrika@gmail.com

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU