Tuesday, January 4, 2011

GURUMO WA MSONDO NGOMA AFYA YAKE YAENDELEA KUIMALIKA

                                  Nikiwa nyumbani kwa GURUMO hapa GURUMO na mke wake nikiwahoji
                                GURUMO na mkewe PILI nyumbani kwao
                                     Hapa namuhoji GURUMO
                                    GURUMO akiwa amepozi nyumbani kwake.

Msanii wa muziki wa dansi katika bendi ya MSONDO NGOMA BABA YA MUZIKI MUHIDIN GURUMO ambaye alikuwa amemelazwa sasa hali yake inaendelea vizuri na anaendelea na kazi kama kawaida ingawa kwa sasa hawezi kuimba kama zamani mpaka hapo atakapopona kabisa.

GURUMO ambaye alikuwa amelazwa kwa matatizo ya moyo pamoja na mapafu kujaa maji sasa anaendelea vizuri na anakwenda haka kazini kwaajili ya kuwasaidia wasanii wenzake katika bendi hiyo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU