Tuesday, January 4, 2011

MADA MAUGO ASEMA HAKUPIGWA NA CHEKA BALI MAJAJI WAMETOA USHINDI WA BURE KWA CHEKA

 Baada ya kupokea kichapo kutoka kwa CHEKA ,MADA MAUGO asema hajapigwa kwani yeye alionyesha mchezo nzuri na haelewi kwanini majaji wamempa ushindi CHEKA wakati hakumpiga.
Amesema yeye yupo tayari hata sasa kurudiana na CHEKA kwani bado hajapigwa na hamuogopi CHEKA                                   

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU