Tuesday, February 8, 2011

ASHA BARA KA AJA JUU ASEMA TWANGA PEPETA IPO PALEPALE LICHA YA BAADHI YA WASANII KUONDOKA KATIKA BENDI HIYO

                         ASHA BARAKA akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na bendi ya TWANGA PEPETA
                        HADIJA KIMOBITEL akiwa na LWIZA MBUTU baada ya kurudi tena TWANGA
                                ASHA akiongea kwa uchungu kuhusiana na baadhi ya magazeti yalivyoandika juu ya wasanii wake kuondoka katika bendi hiyo
                               Msanii kutoka BONGO STAR SEACHER ajiunga na bendi ya TWANGA PEPETA
                               Baadhi ya wasanii wa bendi ya TWANGA PEPETA wakiwa kambini kwao
                          Wasanii waliotua twanga pepeta wakiwa na viongozi wa Twanga Pepeta Lwiza Mbutu pamoja na Asha Baraka mkurugenzi wa bendi hiyo.

Mkurugenzi wa Twanga Pepeta Asha Baraka asema kuondoka kwa baadhi wa wasanii katika bendi hiyo hakusababishi bendi hiyo kuvunjika na kusambaratika ,amesema Twanga Pepeta ilikuwepo siku nyingi na itaendelea kuwepo hata kama wasanii wanaondoa ,lakini pia ameongeza kuwa kazi ya bendi na kuendeleza wasanii kwa kutoa ajira pamoja na kutoa burudani kwa jamii.
Wanamuziki waliokuwa twanga pepete  na wemejiunga na   bendi ya EXTRA BONGO  ni Mwimbaji Rogert Katapillar, Rapa wa bendi hiyo Saulo John 'Ferguson' ambaye aliibukia katika bendi hiyo hiyo ya Extra Bongo na Kiongozi wa Wanenguaji wa Twanga, Super Nyamwela, Danger Boy na Otilia.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU