Monday, March 7, 2011

BFT YAPOKEA MAJINA YA TIMU YA TAIFA YA NGUMI ,YASUBILIWA KUTANGAZWA

Kocha wa timu ya Taifa ya ngumi za ridhaa HURTADO PIMENTER akiwa mwandishi wa  gazeti  Mwananchi IMAN MAKONGORO katika ofisi za Baraza la michezo wa Taifa (BMT) 
                        Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya ngumi za ridhaa REMMY NGABO akizungumza na mwandishi wa habari katika ofisi za Baraza la michezo Taifa BMT.
 
Kocha mkuu wa timu ya ngumi ya Taifa HURTADO PIMENTER amesema tayari majina ya timu ya Taifa yamepatikana baada ya kuchagua wachezaji kutoka katika mashindano ya Taifa yaliyofanyika uwanja wa ndani Jijini DSM.
 
Kocha amesema majina hayo yamekabidhiwa kwa katibu mkuu wa BFT ili yaweze kutangazwa kwa vyombo vya habari na wachezaji waanze maandalizi ya kujiandaa na mashindano ya kimataifa.
 
Kocha amesema wachezaji wamechaguliwa kwa kuangalia uwezo wa mchezaji pamoja na umri umezingatiwa

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU