Mtangazaji wa Radio one MAULID BARAKA KITENGE akikabidhiwa tiketi ya ndege na mmoja wa wafanyakazi wa NSSF kwa ajili ya kwenda KOREA KUSINI kushiriki mkutano mkuu wa chma cha waandishi za michezo DUNIANI
KITENGE ambaye ni makamu mwenyekiti wa TASWA ataondoka na katibu msaidizi GOERGE JOHN kushiriki mkutano huo





0 maoni:
Post a Comment