Monday, March 7, 2011

WAFANYAKAZI WA KUJITEGEMEA WAFANYA MKUTANO NA TIGO PESA

Mkuu wa Mauzo wa Tigo Tanzania, Brahim Nallar (kulia) akizungumza
na baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa
katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (wa pili kushoto)
akitoa maelekezo ya huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi ya
wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika
mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Mauzo wa Tigo Tanzania, Brahim Nallar (kulia) akizungumza
na baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa
katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto)
akizungumza kuhusu huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi ya
wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika
mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Mradi wa Tigo Pesa Tanzania, James Murithi (wa tatu
kushoto) akitoa maelekezo ya huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi
ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika
mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (wa pili kulia)
akitoa maelekezo jinsi ya kupata huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa
kutumia simu ya mkononi kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa
timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wafanyakai wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa
wakimsikiliza mmoja wa maofisa mauzo wa Tigo Pesa, Fadhila Saidi
(kulia) wakati wa mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU