Msemaji wa TFF BONIFACE WAMBURA akimkabidhi msemaji wa SIMBA CLIFORD NDIMBO jezi kwa ajili ya mchezo wa SIMBA na YANGA wachezaji wa zamani.
Timu za SIMBA na YANGA kwa wachezaji wa zamani ambao watacheza mchezo wa kirafiki kwa ajili ya kuchangia wahanga wa mabomu GONGO la MBOTO wamekabidhiwa vifaa vya mchezo huo na kampuni ya bia nchini TBL ambao hudhamini vilabu vya SIMBA NA YANGA katika michezo yao inapocheza.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za TFF ili kuhakikisha mchezo huo unafanyika bila wasiwasi katika uwanja wa TAIFA hapo kesho Jijini DSM
0 maoni:
Post a Comment