Kulia ni mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa kampuni ya FRONTLINE HELEN KIWIA .
ZAIDI ya wanawake KUMI na TATU wakiwemo waliochangia katika kuendeleza sekta ya SANAA, UTAMADUNI na MICHEZO watapatiwa tuzo wakati wa hafla ya kuwatunza wanawake wakati wa kilele cha siku ya wanawake itakayofanyika machi NANE mwaka huu katika ukumbi wa MILIMAN CITY
Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa kampuni ya FRONTLINE, HELEN KIWIA amesema tayari wanawake MIA TANO mwaka huu wamejitokeza kuwania tuzo hizo.
0 maoni:
Post a Comment