Sunday, June 26, 2011

WAZIRI MKUU ATETA NA WAKUU WA MIKOA MJINI DODOMA

   Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye semina yao ya siku mbili kwenye kituo cha mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 26, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)

 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika semina ya sikumbili ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala  wa Mikoa na  Wakuu wa wilaya kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar Mjini Dodoma Juni 26, 2011. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU