Sunday, June 26, 2011

YANGA SARE NA EL MAREIKH YA MAGOLI 2-2

Timu ya  YANGA imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa nyumbani baada ya kutoka sare ya magoli mawili kwa mawili na timu ya EL MEREIKH ys sudan katika mchezo uliofanyika uwanja wa taifa,mchezo ambao ulijaza mashabiki wengi ,huku APR ya RWANDA ikishinda nne dhidi ya port

HAPA NI VIKOSI VYA TIMU HIZO
YOUNG AFRICANS:

19. Yaw BERKO (Gk)

17. Godfrey TAITA

14. Oscar JOSHUA

24. Chacha MARWA

23. Nadir HAROUB (captain)

5. Nurdin BAKARI

18. Julius MROPE

16. Rashid GUMBO

28. Davies MWAPE

10. Jerry TEGETE

7. Kigi MAKASI

RESERVES:

30. Said MOHAMMED

13. Fred MBUNA

29. Juma SEIF

6. Godfrey BONNY

26. Kenneth ASAMOAH

COACH: Sam TIMBE [Uganda]

…….

EL MEREIKH:

01. Isam ELHADARI (Gk)

23. Saeed MUSTAFA (captain)

9. Badr ELDIN

7. Ahmed ALBASHA

18. Nasr ELDIN

12. Musab OMER

8. Kelechi OSUNWA

14. Balla GABIR

5. Wawa PASCAL

17. Karim EDDAFFI

19. Remi ADIKO

RESERVES:

21. Mohammed KAMAL

2. Nagm ELDIN

11. Ragei ABDELATI

10. Stephen WORGU

30. Mohammed MUGADM

4. Jonas SAKUMAHA

COACH: Husam AL BADR

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU