Monday, July 18, 2011

AISHA MADINDA HUYOOOOOO EXTRA BONGO

 AISHA MOHAMED kushoto katikati ALLY CHOKI na mwalimu wa wacheza shoo SUPER NYAMWELA
                           AISHA MADINDA aungana na bendi ya EXTRA BONGO

Bendi ya muziki wa dansi ya EXTRA BONGO NEXT LEVEL leo imemtambulisha mnenguaji mpya AISHA MOHAMED MBEGU ambaye ataanza kazi rasmi jumatano wiki hii.

Bendi ya EXTRA BONGO NEXT LEVEL baada ya kumtambulisha AISHA sasa itakuwa imetimiza idadi ya wanenguaji wa kike NANE na wa kiume wa NNE ambao wataongozwa na SUPER NYAMWELA

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU