Tuesday, July 12, 2011

KAMPUNI YA DOUBLE STAR YATOA MSAADA WA JAKETI KWA WAENDESHA PIKIPIKI

                                        Mfanyakzi wa DOUBLE STAR akikabidhi jaketi kwa mmoja wa dereva
                                         Moja ya jaketi likiwa limevaliwa
                                            
                                   Msaada wa jaketi ukitolewa kwa waendesha pikipiki
                                         Mmoja wa wafanyakazi wa DOUBLE STARS akiwa angawa jaketi
                                    Msaada wa jaketi ulivyowapendezesha waendesha pikipiki
                                      Baada ya kupewa pikipiki baadhi ya dereva wakiwa wamevaa
Kampuni ya DOUBLE STAR imetoa majaketi kwa waendesha pikipiki Jijini DSM ili kujikinga na upepo pindi wanapokua wakiendesha pikipiki hizo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU