Monday, July 11, 2011

TWIGA STARS WAREJEA NA SHANGWE

                                         Wachezaji wakitoka uwanja wa ndege mara baada ya kuwasili
                                         Mwanahamisi akiwa mbele wakati Twiga wakitua uwanja wa ndege
                         Asha Rashid akirejea uwanja wa ndege huku akiwa na magongo baada ya kuumia
                                      Kipa namba moja Fatuma Omary yeye anapenda kujita (Juma Kaseja)
                                       Baadhi ya wachezaji wakiwa uwanja wa ndege baada ya kuwasili
                            Asha aliyeumia wakati wa mchezo sasa anasubiri kupona ili aweze kurudi dimbani

                                        Twiga Stars wakiwa na Ngao waliopata baada ya kuibuka timu bora
Timu ya Twiga Stars imerudi nyumbani ikiwa imeshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga timu ya MALAWI magoli tatu kwa bila

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU