Monday, July 11, 2011

WACHEZAJI 13 WA READ SEA WAZAMIA

Katibu mkuu wa TFF ANGETIKE OSIAH.

Shirikisho la soka nchini TFF limesema kuwa wachezaji 13 kati ya 26 waliokuwa nchini wa timu ya REDD SEA ya ELTREA kw aajili ya michuano ya kombe la KAGAME wametoroka ambapo walushindwa kuondoka jumamosi .

Akizungumza na waandsihi wa habari jijini DSM,katibu mkuu wa TFF ANGETILE OSIAH amesema kuwa walifanya maandalizi ya timu hiyo kusafiri lakini iemgundulika kuwa wachezaji hao hakuwemo katika msafara wao na hivyo wameripoti katika mammlaka husika kuhusiana na suala hilo.

OSIAH amesema kuwa kitendo kilichofanywa na wachezaji hao na baadhi ya viongozi wa timu hiyo si cha kuuungwana hivyo watashirikiana na mamlaka husika katika kuhakikisha wanapatikana na baadaye kurejeshwa nchini mwao.

Timu ya RED SEA haikufanikiwa kuingia fainali za michuano ya KAGAME ambapo katika mchezo wa mwisho iliindoa kwa mikwaju ya penati.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU