Mkuu wa Wilaya wa TEMEKE CHIKU GALAWA akiwa makini kuangalia burudani wakati wa uzinduzi wa kituo cha FASDO na yeye alikuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi huo
Kikundi cha ngoma kikiwa kinapita wakati wa sherehe za uzinduzi wa kituo cha FASDO
Baadhi ya wageni kutoka marekani wakiwa bize na picha
Wasanii wakiwa wanaigiza
Baadhi ya wasanii katika kituo cha FASDO wakiwa na biashara mbalimbli wakati wa uzinduzi wa kituo hicho
Burudani kama kazi
Wasanii wa muziki wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa kituo cha kukuza michezo pamoja na sanaa cha FASDO kilichopo TANDIKA





0 maoni:
Post a Comment