Saturday, July 9, 2011

MELI YAZINDULIWA MKOANI MTWARA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika mzungumzo na viongozi  waandamizi walioshiriki katika uzinduzi wa malei ya kukufanyia utafiti wa mafuta na gesi katika  pwani ya Mtwara na Mafia kabla ya uzinduzi uliofanywa na Mama Tunu Pinda katika mji maarufu wa uundaji meli wa  Geoje nchini Korea Kusini Julai 8,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akihutubia baada ya  kuzindua meli ya Ocean Rig Poseidon kwenye bandari ya Geoje nchini Korea ya Kusini Julai 8, 2011. Meli hiyo  mali ya kampuni ya Petrobas ya Brazil inatrajiwa kuwasili nchini miezi michache  ijayo ili kufanya utafiti wa mafuta katika Pwani ya Mtwara na Mafia. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
                                     
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua meli ya Ocean Rig Poseidon baada ya meli hiyo kuzinduliwa na Mama Tunu Pinda kwenye Bandari maarufu  kwa ujenzi wa meli kubwa ya Mji wa Geoje nchini Korea Kusini  Julai 8, 2011. Meli hiyo mali ya Kampuni ya Petrobas ya Brazil inatarajiwa kufanya utafiti wa mafuta na gesi kwenye pwani ya Mtwara na Mafia miezi michache ijayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizindua meli ya Ocean Rig Poseidon kwenye bandari ya Geoje nchini Korea ya Kusini Julai 8, 2011. Meli hiyo mali ya kampuni ya Petrobas ya Brazil inatrajiwa kuwasili nchini miezi michache ijayo ili kufanya utafiti wa mafuta katika Pwani ya Mtwara na Mafia. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua meli ya Ocean Rig Poseidon baada ya meli hiyo kuzinduliwa na Mama Tunu Pinda kwenye Bandari maarufu kwa ujenzi wa meli kubwa ya Mji wa Geoje nchini Korea Kusini Julai 8, 2011. Meli hiyo mali ya Kampuni ya Petrobas ya Brazil inatarajiwa kufanya utafiti wa mafuta na gesi kwenye pwani ya Mtwara na Mafia miezi michache ijayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU