Saturday, July 9, 2011

SIMBA NA YANGA KUTOANA JASHO FAINALI KAGAME CUP UWANJA WA TAIFA

Timu za SIMBA na YANGA kesho zinatarajia kutoana josha baada timu hizo kutinga fainali ya michuano ya KAGEMA .

YANGA imetinga fainali baada ya kuifunga timu ya ST.GEORGE ETHIOPIA kwa mikwaju ya penati huku timu ya SIMBA ikiitoa timu ya EL MEREIKH ya SUDAN kwa  mikwaju ya penati.

Mshindi wa tatu itakua kati ya ST GEORGE na EL MEREIKH

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU