skip to main | skip to sidebar

JANE JOHN

  • Home
  • About
  • Posts RSS
  • Contact
  • Log In

Wednesday, September 28, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL KATIKA SEMINA YA KUBADILISHANA UZOEFU NA TAASISI YA MAZINGIRA YA STOCKHOLM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha Bilal, Waziri wa Mazingira Huvisa, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mazingira ya Stockholm, John Kuylenstierna, wakati wakiwa katika semina ya kubadilishana uzoefu kati ya taasisi hiyo na Wizara ya Mazingira iliyo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Semina hiyo ilifanyika jana septemba 27 katika ofisi za taasisi hizo zilizopo Stockholm nchini Sweden
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mazingira ya Stockholm, baada ya kumalizika kwa semina ya kubadilishana uzoefu kati ya taasisi hiyo na Wizara ya Mazingira iliyo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais, iliyofanyika jana septemba 27 katika ofisi za taasisi hizo zilizopo Stockholm nchini Sweden
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Muhammed Mwinyi Mzale na baadhi ya mabalozi wa nchi mbalimbali baada ya hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Balozi wa Tanzania, Sweden jana Septemba 27

0 maoni:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home

WANAOTEMBELEA KWA SIKU

free hit counter

JANE JOHN

JANE JOHN

Blog Archive

BLOG JIRANI

  • MICHUZI
    RAIS DKT.SAMIA KUFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA KITAIFA NCHINI URUSI,KUSHIRIKI JUKWAA LA SPIEF 2026
    3 hours ago
  • BONGOWEEKEND
    ISIMANI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMCHAGUA MRITHI WA LUKUVI
    4 hours ago
  • MTAA KWA MTAA
    Hadithi ya Benki ya NMB Yatinga Jukwaa la Cambridge.
    15 hours ago
  • SUFIANI MAFOTO
    BALOZI CP KAGANDA AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA NA ASIA KUIMARISHA USHIRIKIANO
    2 months ago
  • FULL SHANGWE
    WAZIRI WA UJENZI MHE. ULEGA AIPA KONGOLE ETDCO KWA UTEKELEZAJI BORA MIUNDOMBINU YA UMEME
    9 months ago
  • Burudan Mwanzo - Mwisho
    BONDIA MAKUBI ATAMBA KUMPIGA ABDALLAH MA MOROGORO OKTOBA 4 KATIKA UKUMBI WA 361 MWENGE
    6 years ago
  • UNIQUE ENTERTAINMENT
    BRAND NEW SONG: METTY ft DAYNA NYANGE & NAPPY - YOUR LOVE
    9 years ago
  • TANZANIA ONE
    SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!
    9 years ago
  • www.balilemajuto-balilemajuto.blogspot.com
    Taasisi ya Mwalimu Nyerere yawakumbusha maadili Watanzania
    10 years ago
  • NYUMBA YA MICHEZO NA BURUDANI
    VUMBI LIGI KUU KUANZA KESHO, YANGA ‘WAZEE WA UTURUKI’ KUWAVAA ASHANTI TAIFA
    12 years ago
  • my diary show
    MY DIARY MJENGONI
    15 years ago
  • LADY JAY DEE
  • NDUMBARO SOCCER AGENTS
  • RahaTeleTz
  • MACHELLAH

Sample text

USIKOSE KUANGALIA TBC 1 KILA SIKU NA KUSIKILIZA RADIO ZA TBC IKIWEMO TBC TAIFA,TBC FM NA TBC INTERNATIONAL KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI SIKILIZA TBC TAIFA SAA MOJA NA NUSU KILA SIKU
Powered by Blogger.

Ads 468x60px

Popular Posts

Followers

Featured Posts

 
Copyright 2010 - JANE JOHN
Powered by Blogger
Developed by MTAA KWA MTAA