Monday, September 26, 2011

MASHINDANO YA MBUZI

Mbuzi wakishindana ili kumpata mshindi wa mbio za mbuzi za NBC
Select Sprint zilizodhaminiwa na benki ya NBC wakati wa mashindano ya
mwaka huu ya mbio za mbuzi jijini Dar es Salaam
Ofisa Uhusiano wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kushoto) akikabidhi
mfano wa hundi ya shs milioni 1.8 kwa mshindi wa mbio za mbuzi za NBC
Select Sprint ambazo mbuzi mwenye namba sita aliyepewa jina la ‘The
Joisey Goatess’ alishinda. NBC ilikuwa mmoja wa wadhamni wa mbio za
mbuzi za mwaka huu zilizofanyika katika viwanja vya The Green Barabara
ya Kenyatta, Dar es Salaam
Mbuzi namba sita akimaliza mbio za mbuzi za  NBC Select Sprint
zilizodhaminiwa na benki ya NBC na kuibuka kidedea  wakati wa
mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi katika viwanja vya The Green,
Barabara ya Kenyatta, Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU