Sunday, March 25, 2012

SIMBA YAIRARUA ES SETIF YA ALGERIA

Beki wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Amir Maftah, akimdhibiti mshambuliaji wa ES Setif ya Algeria wakati wa mchezo wa kombe la Shirikisho uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa. Katika mchezo huo Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU