Meneja wa kinywaji cha Konyagi Martha Bangu, akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa Mtaa wa Vikunai kilichopo eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzindua kisima cha maji kilichochimbwa na kampuni hiyi.
Meneja wa kinywaji cha Konyagi Martha Bangu, na Mwnyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vikunai Zena Khamisi wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa mradi wa kisima cha maji ambacho kimechimbwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
0 maoni:
Post a Comment