Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi, Ngazi ya Taifa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23,2012.
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi, Ngazi ya Taifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mafunzo hayo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri wa Fedha, Dktwilliam Mgimwa baada ya kufungua Mafunzo wa Wakufunzi wa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Ngazi ya Taifa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23, 2012. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wazara ya Fedha, Servacius Likwelile na Wapili kushoto ni Kamishina wa Sensa, hajat Amina Mrisho Said.
0 maoni:
Post a Comment