Thursday, July 26, 2012

LEOCARDIA RUGIMBANA HATUNAE TENA DUNIANI

 Mfanyakazi wa shirika la utangazaji TBC bi.Leocardia Rugimbana amefariki dunia usiku wa saa mbili Julai 24/2012 katika hospitail ya muhimnbili ambapo amekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.Marehem aliwahi kuwa meneja mkuu wa masoko katika shirika hilo.Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Tabata Segerea. 

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA NA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE .
AMINA

1 maoni:

IGS COMPUTER SOLUTIONS said...

My sincere condolences to all of her family.
May God strengthen her family too,Amen

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU