Tuesday, July 31, 2012

MENEJA WA GRAND MALT WAKIKABIDHI RAMBIRAMBI KWA MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR

 Meneja masoko wa Kinywaji cha Grandmalt Fimbo Buttalah Kulia akimkabidhi makamu wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ally Iddy Hundi ya Shilingi milioni tano kama sehemu ya Rambirambi zilizotolewa kwa pamoja kati ya Grandmalt ambao ni wadhamini wa Ligi kuu ya Zanzibar na Chama cha Soko Zanzibar ZFA. Kushoto ni Makau wa rais wa Zfa Kassum Suleman 
 Meneja masoko wa Kinywaji cha Grandmalt Fimbo Buttalah Kulia akimkabidhi makamu wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ally Iddy Fedha Shilingi milioni tano kama sehemu ya Rambirambi zilizotolewa kwa pamoja kati ya Grandmalt ambao ni wadhamini wa Ligi kuu ya Zanzibar na Chama cha Soko Zanzibar ZFA. Kushoto ni Makau wa rais wa Zfa Kassum Suleman   
makamu wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ally Iddy akizungumza katika hafla fupi ofisini kwake wakatiti akipokea fedha taslimu shilingi milioni tano toka Grandmalt na ZFA Kwaajili ya kuwafariji wale wote waliopatwa na maafa ya ajali ya meli hivi karibuni 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU