Monday, July 23, 2012

WAZIRI MKUU AKIWA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE AKIZUNGUMZA NA WABUNGE MBALIMBALI


  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati , Said Arfi na Mbunge wa Viti Maalum, Agripina Buyogela, Kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma July 23,2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati Said Arfi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU