Monday, July 30, 2012

WAZIRI MKUU PINDA BUNGENI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Babati, Kisyeri Chambiri  kwenye jengo la utawala la Buge Mjini Dodoma, Julai 30,2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (katikati) na Mbunge wa Kasulu  Mjini, Moses Machali  (kulia) kwenye viwanja vya  Bunge Mjini Dodoma Julai 30, 2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU