Thursday, August 2, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA KITABU CHA WANASAYANSI 31 MABINGWA WA KITANZANIA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha kitabu kiitwacho Lighting Fire kilichoandikwa na wanasayansi 31 Mabingwa wa Kitanzania baada ya kukizindua kwenye ukumbi wa Tume ya taifa ya Sayansi na Tekinolojia, Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni  Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa  Makame Mbalawa na Kulia ni Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa, Idris Kikula baada  ya kuzindua  kitabu kiitwacho Lighting fire kilichoandikwa na  wanasayansi 31 mabingwa wa kitanzania, kwenye ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi  na Tekinoloji, Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu  Huria cha Tanzania, Profesa  Tolly Mbwete. 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU