Friday, September 21, 2012

ABDUL MOHAMED MTANGAZAJI WA CLOUDS

 Aliyekua msemaji mkuu yanga louis  Sendeu
katibu  wa muda Lawrence Mwalusako

Uongozi wa klabu ya yanga umesitisha mkataba wa katibu mkuu wa yanga  na kuwaweka  sekilojo chambua kuwa meneja na msemaji mkuu Abdul Mohamend badala ya Sendeu baada ya mkataba wake kumalizika. 


Makamu mwenyekiti wa yanga clement sanga amesema wameamua kuwaondoa watendaji hao kutokana nakutoridhishwa nautendaji wao wa katika klabu ya Yanga.


Katika hatua nyingine clabu ya yanga inatarajia kushuka dimbani na JKT Ruvu  Uwanja wa Taifa

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU