Friday, September 21, 2012

KOCHA WA YANGA TOM SANTIFIET ATIMULIWA

Mwenyekiti wa klabu ya YANGA YUSUPH MANJI amemtimua kocha ambaye alipolewa kwa mbwembwe TOM SAINTFIET baada ya timu hiyo kuanza vibaya msimu mpya wa ligi kuu TANZANIA BARA,Habari kutoka ndani zinasema kocha huyo hatakuwepo katika mchezo wa kesho ambapo YANGA itashuka kucheza na JKT RUVU

2 maoni:

Anonymous said...

bora aende zake alikuwa hajui cha kufanya pale yanga ngoja aone minziro akifanya vitu vyake leo

shukuru sibonike said...

nilijua ndicho kifuatacho, na bado oct. 3 watamtimua na manji mwenyewe kwani tumewaandalia 4 tu.

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU