Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kushoto) akiongea wakati wa
uzinduzi wa ushirikiano wa kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel na Bank
of Afrika katika kutoa huduma ya Airtel
money kupitia matawi ya bank hiyo yote yaliyopo Tanzania. Uzinduzi huo
ulifanyika jana katika Makao makuu ya Airtel Morocco Jijini Dar es
Salaam. pichani kulia ni mkuu wa kitengo cha IT Bank of Afrika bwn.
Willington Munyanga , akifatiwa na Mkuu wa huduma za kibenki Mwanahiba
Mzee na anayefatia ni Meneja Airtel Money John Ndunguru.
Meneja Airtel Money John Ndunguru na Mkuu
wa huduma za kibenki Mwanahiba Mzee kwa pamoja wakikabidhiana mikataba
mara baada ya makubaliano ya ushirikiano wa Airtel na Bank of Afrika
katika kutoa huduma ya Airtel money kupitia matawi ya bank hiyo yote
yaliyopo Tanzania. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Makao makuu
ya Airtel Morocco Jijini Dar es Salaam. wakishuhudia Katikati ni Mmoja
ya wakala mkubwa wa Airtel money kutoka kampuni ya Connexions bwn
Shyamkumar Balakrishnan (katika) na kushoto ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando
Meneja Airtel Money John Ndunguru na Mkuu
wa huduma za kibenki Mwanahiba Mzee wakipitia mkataba mara baada ya
makubaliano ya ushirikiano wa Airtel na Bank of Afrika katika kutoa
huduma ya Airtel money kupitia matawi ya bank hiyo yote yaliyopo
Tanzania.
0 maoni:
Post a Comment