Mshambuliaji wa KMKM, Maulid Ibrahim ( kulia) akibanwa na Mwinyi Haji
wa Chuoni (20), ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa
Amaan. Timu hizo zilitoka nguvu sawa mabao 2 kwa 2.
Vijana wa timu ya Chuoni wakishangilia bao la kusawazisha na kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 na KMKM kwenye uwanja wa Amaan jana.
Chuoni wakishangilia baada ya kusawazisha
bao.
Mlinzi Khamis Ali wa KMKM (kushoto) akijaribu kumdhibiti mshambuliaji wa Chuoni, Abdulkadir Ibrahim jana kwenye uwanja wa Amaan.
KMKM 2 na Chuoni 2.
Walinzi wa KMKM (jezi nyekundu) wakililinda lango lao dhidi ya
mashambulizi ya watoto wa Chuoni jana kwenye uwanja wa Amaan zanzibar,
ligi kuu ya grand Malt ya zanzibar.
0 maoni:
Post a Comment