Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays
Tanzania, Abdul Juma (kulia) akisalimiana na Makamu Mkuu ‘Street
University’, Eric Shigongo ambaye pia ni Mkuugenzi wa Kampuni ya
Global Publishers, katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa ‘Street University’, James Mwang’amba.
Global Publishers, katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa ‘Street University’, James Mwang’amba.
Makamu Mkuu wa ‘Street University’ na Mkurugenzi wa Global
Publishers, Eric Shigongo akizungumza katika semina iliyoandaliwa na
benki ya Barclays Tanznaia kwa jili ya wateja wenye akaunti za
biashara jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays
Tanzania, Abdul Juma akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benki
hiyo kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam
leo
Mussa Kitoi akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo
kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa washiriki wa semina liyoandaliwa na Benki ya Barclays
Tanzania kwa ajili ya wateja wake wenye akaunti za biashara, Helen
Bomani Mkurugenzi wa Kampuni ya W.O.B Ltd ambao ni wasambazaji wa
vivywaji vya Serengeti Breweries (SBL) akijitambulisha katika semina
hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays
Tanzania, Abdul Juma (kulia) akizungumza na Mkuu wa ‘Street
University’, James Mwang’ata katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo
kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
0 maoni:
Post a Comment