Makamu wa Rais Dkt.
Mohammed Gharib Bilal akihudhuria Mkutano wa tano wa Viongozi
Nchi za Ukanda wa
Maziwa Makuu uliofanyia kwenye Ukumbi wa Commonwealth wa
Hotel ya Munyonyo jijini Kamapala jana. Wengine kutoka kushoto ni Rais
Paul Kagame wa Rwanda na
Makamu wa Rais wa Sudan, Haji Adamu yoss0uf
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka50 ya Uhuru wa Uganda kwenye Uwanja wa Kololo, jijini Kampala jana. Wengine kutoka kushoto ni Rais wa Somalia Hassan Shekhe Mahamoud na Makamu Rais wa Sudan, Bwana Haji Adam Yusufu
Rais
Yoweri Museveni wa Uganda akimkaribisha, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwenye sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda zilizofanyika jana kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala,Uganda.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal (kulia) akibadilishana
mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati wa kilele cha
maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda. Sherehe hizo zimefanyika jana
katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala. Wanaoonekana nyuma yao ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na Mama Zakia Bilal.
0 maoni:
Post a Comment