Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakipitia Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka
2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya
habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini wakati wa kikao cha kazi
(retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa
waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa
sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Wajumbe wakichangia katika kikao cha
kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa
waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na
utekelezaji wa sasa na wa baadae ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa
akitoa mada ya wizara yake katika kikao cha kazi (retreat) cha siku
tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali
kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika
ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza
kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri
na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu
na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini
Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
(kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti
ya Utumishi wa Umma Bw. George Yembesi akifafanua juu ya Waraka wa
Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa
na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini
kwa wajumbe kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha
Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili
mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma
Dk. Jabir Kuwe Bakari, Mtendaji Mkuu, Wakala ya Serikali Mtandao, akitoa mada kuhusu wakala huo kwa wajumbe
kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri
na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na
utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini
Dodoma
0 maoni:
Post a Comment