Askari
wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akikagua gari la mfanyakazi
wa Airtel bwana Herald Mwigune wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake
za usalama barabarani kwa vitendo kwa kuwezesha magari ya wafanyakazi
wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo
limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco.
Askari
wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akikagua gari wakati Airtel
ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha
magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama
barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco.
Pichani Mfanyakazi wa Airtel bwana Herald Mwigune
Askari
wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akitoa maelezo na ufafanuzi
kwa mfanyakazi wa Airtel bi Clara Kizinga juu ya vyombo vya moto wakati
wa zoezi la ukaguzi wa magari lililofanyika katika makao makuu ya Airtel
Morocco. Zoezi hilo ni mwendelezo wajuhudi za Airtel katika kuhakikisha
usalama barabarani unazingatiwa.
Askari
wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akiandika sticker za usalama
barabarani mara baada ya kuyakagua magari wakati Airtel ilipoendeleza
juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya
wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani.
Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Pichani
Mfanyakazi wa Airtel. Pichani ni wafanyakazi wa Airtel Lilian Kibiriti
na Abdul Mbuyu
Askari
wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akibandika sticker ya
usalama barabarani katika gari ya mmoja wa wafanyakazi wa Airtel bwana
Abadallah Gunda mara baada ya kukalikagua , hii ni moja kati ya
mwendelezo juhudu za Airtel kwa kutekeleza usalama barabarani kwa
vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa. Zoezi hilo
limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco, nyuma ni baadhi ya
wafanyakazi wa Airtel wakisubiri kukaguliwa
0 maoni:
Post a Comment