Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012,
wakiangalia maelezo mbalimbali na picha za Hifadhi ya Bonde la
Ngorongoro, wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana na
kujifunza na kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss Tanzania
2012 wapo Kanda ya Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa Ndani.
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakipiga
picha ya pamoja katika eneo la Vie Pick katika Hifadhi ya Bonde la
Ngorongoro, wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana na
kujifunza na kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss Tanzania
2012 wapo Kanda ya Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa Ndani.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012,
wakiangalia wanyama wa aina mbalimbali wakati walipotembelea Hifadhi ya
Bonde la Ngorongoro, wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo
jana na kujifunza na kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss
Tanzania 2012 wapo Kanda ya Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa
Ndani.
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakipiga
picha ya pamoja katika bwawa la Viboko la maji baridi ndani ya Hifadhi
ya Bonde la Ngorongoro, wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo
jana na kujifunza na kujionea mambo mbalimbali. Warembo wa Redd's Miss
Tanzania 2012 wapo Kanda ya Kaskazini kwa ziara ya kuhamasisha Utalii wa
Ndani.
0 maoni:
Post a Comment