Warembo wa Redds Miss Tz wakiwa katika hatua za
awali kambini Giraffe Hotel wakiwa kwenye kupata chakula cha Mchana
Warembo wa Redds Miss Tz wakiwa katika hatua
mbalimbali za maelekezo katika kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Giraff hapa
mmoja kati ya wafanyakazi wa Hotel hiyo bwana
James Philbert akitoa maelekezo ya namna ya kutuma vifaa mbalimbali na
ratiba ya chakula kwa kipindi chote watakapo kuwa kambini hapo.
WASHIRIKI wa fainali za taifa za urembo mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2012' wametakiwa kuwa na nidhamu wakati wote watakapokuwa kambini wakijiandaa na shindano hilo litakalofanyika mapema mwezi ujao hapa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na warembo hao jana baada ya kuwasili kambini, Mratibu wa shindano hilo, Hashim Lundenga, aliwaambia washiriki hao kuwa kila mmoja anawajibika kumuheshimu mwenzake na hakuna aliye na thamani kubwa kulimo mwingine.
Lundenga aliwaambia warembo hao wawe wanajitambua na hilo litawajenga katika maisha yao na kuwatakia waishi kwa furaha katika muda wote watakaokuwa kwenye kambi hiyo.
"Karibuni wote hapa kwenye hoteli hii ambayo itakuwa ndio makazi yenu katika kuelekea shindano la Redd's Miss Tanzania, ila wanaambia kwamba wote mko sawa na kikubwa ni kuwa na nidhamu," alisisitiza mratibu huyo.
Aliwaambia warembo hao kwamba wakiwa kwenye kambi hiyo watafundishwa mambo mbalimbali yanayohusiana na sanaa ya urembo, kujiandaa na maisha na kujitambua.
Aliwataja warembo hao waliongia kambini jana kuwa ni pamoja na Noela Michael, Magdalena Roy, Mary Chizi, Naombi Jones, Carren Elias, Venancy Edward, Warid Frank, Anande Raphaely, Lucy Stephano, Rose Lucas, Irene Veda, Joyce Baluhi, Virginia Mokiri, Fatma Twahil, Phina Revocatus, Belinda Mbogo, Lightness Michael, Elizabeth Diamond, Bridgitte Alfred, Diana Hussein na Irene David.
Aliwataja washiriki wengine kuwa ni Zuwena Nassib, Edda Sylivester, Flavia Maeda, Catherine Masumbigana, Jesca Haule, Eugene Fabian, Happiness Daniel, Happiness Rweyemamu na Babylove Kalalaa.
Mrembo anayeshikilia taji la mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Nchini (TBL) kupitia kinywaji chake cha Redd's ni Salha Israel aliyetokea Kanda ya Ilala hapa jijini.

REDDS MISS TANZANIA 2012
CONTESTANTS
NAME
|
REGION
|
ZONE
|
1.
NOELA MICHAEL
2.
MAGDALENA ROY
3.
MARY CHIZI
|
ILALA – TABATA
ILALA – DAR CITY CENTRE
ILALA – UKONGA
|
ILALA
|
4.
NAOMI JONES
5.
CAREN ELIAS
6.
VENANCY EDWARD
|
IRINGA
MBEYA
RUKWA
|
SOUTHERN HIGHLAND
|
7.
WARID FRANK
8.
ANANDE RAPHIELY
9.
LUCY STEPHANO
|
ARUSHA
KILIMANJARO
MANYARA
|
NORTHERN ZONE
|
10.
ROSE LUCAS
11.
IRENE VEDA
12.
JOYCE BALUHI
|
PWANI
LINDI
MOROGORO
|
EASTERN – ZONE
|
13.
VIRGINIA MOKIRI
14.
FATMA TWAHIL
15.
PHINA REVOCATUS
|
DODOMA – UDOM
ARUSHA – ASJ
DSM – IFM
|
HIGHER LEARNING ZONE
|
16.
BELINDA MBOGO
17.
LIGHTNESS MICHAEL
18.
ELIZABERTH DIAMOND
|
DODOMA
DODOMA
SINGIDA
|
CENTRAL – ZONE
|
19.
BRIDGITTE ALFRED
20.
DIANA HUSSEIN
21.
IRENE DAVID
|
DSM – SINZA
DSM – DAR INDIAN OCEAN
DSM – UBUNGO
|
KINONDONI – ZONE
|
22. ZUWENA NASSIB
|
OPEN UNIVERSITY
|
OPEN UNIVERSITY
|
23.
EDDA SYLIVESTER
24.
FLAVIA MAEDA
25.
CATHERINE MASUMBIGANA
26.
JESCA HAULE
|
DSM – KIGAMBONI
DSM – KURASINI
DSM – CHANG’OMBE
DSM – CHANG’OMBE
|
TEMEKE – ZONE
|
27.
EUGENE FABIAN
28.
HAPPINESS DANIEL
29.
HAPPINESS RWEYEMAMU
30.
BABYLOVE KALALAA
|
MARA
MWANZA
SHINYANGA
KAGERA
|
LAKE – ZONE
|
0 maoni:
Post a Comment