Yanga, JKT Oljoro
Emanule Okwi wa Simba (kulia) akiwania mpira na Aggrey Moris wa Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo ambapo Simba walishinda bao 3-1
Wakati huo huo, Yanga leo imeshika nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuifunga Oljoro JKT bao 1-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Yanga sasa itakuwa na pointi 20 wakati simba inayoongoza ligi hiyo imefikisha pointi 22. Azam pointi 18.

Kwa ushindi huo, Yanga imetimiza
pointi 17, baada ya kucheza mechi 10 na inaendelea kusimama katia nafasi ya
tatu.
Mechi nyingine za ligi hiyo leo ni
kati ya African Lyon na Kagera Sugar Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam, Mgambo
JKT na Prisons Uwanja wa Mkwakwani, Tanga na Ruvu Shooting dhidi ya Polisi Morogoro
Uwanja wa Mabatini, Mlandizi.
Ligi hiyo itaendelea kesho kwa
michezo miwili kati ya JKT Ruvu na Coastal Union Uwanja wa Chamazi, Dar es
Salaam na Toto Africans dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
0 maoni:
Post a Comment