Monday, November 19, 2012

MAZOLA AMSHINDA MWAITE


Bondia Baina mazola amemshinda kwa tabu mwaite juma katika pambano lilokuwa na upinzani mkali kiasi cha kuwafanya majaji kuwa na wakati mgumu na makini wakati wote.
Baada ya kupoteza pambano hilo mwaite aliomba marudiano kama kutatokea promota mwaminifu kama alivyofanya mzazi,"namshukuru promota amenimalizia pesa yangu yote sio kama alivyotufanyia Kaike mpaka leo hajatulipa tunasumbuana nae kwenye vyombo vya sheria kwa hela ndogo na uwezo anao.
Katika mapambano ya utangulizi Issa omari alimpiga  kwa point James martin,na kumfanya kupoza machungu aliyoachiwa na Kaike siraju,
nae Mustafa dot akimpiga raundi ya pili kwa ko mbaya  iddi Rashid,huku omar Ramadhan akishindwa kutamba kwa herman richard,Adam Barnabas akimtesa mpole mckezie kwa point .kwa ufupi mapambano yalienda vizuri
 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU