Sunday, November 4, 2012

WAFANYAKAZI WA BARCLAYS WAJITOLEA KUFANYA KAZI ZA JAMII KUADHIMISHA 'MAKE A DIFFERENCE DAY'

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Bw. Kihara Maina (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), katika mafunzo kuhusu taaluma za kibenki na ujasiriamali ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo  kuadhimisha siku maalumu ambayo wafanyakazi wake hujitolea kufanya kazi za kijamii waliyoipa jina la ‘Make a Difference Day’.
 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Barclays Tanzania, Kihara Maina (hayupo pichani)  katika mafunzo kuhusu taaluma za kibenki na ujasiriamali ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha siku maalumu ambayo wafanyakazi wake  hujitolea kufanya kazi za kijamii waliyoipa jina la ‘Make a Difference Day’ jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Barclays Tanzania, Eutropia  Mwambeleko (kushoto) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana, katika mafunzo kuhusu taaluma za kibenki na ujasiriamali ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo  kuadhimisha siku maalumu ambayo wafanyakazi wake  hujitolea kufanya kazi za kijamii waliyoipa jina la ‘Make a Difference Day’.
Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) akiuliza swali wakati wa mkutano huo iliondaliwa na Barclays ikiwa ni sehemu ya matukio ya siku ya ‘Make a Difference Day shuleni hapo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU