Jeshi lapolisi mkoani Katavi limepokea jezi za mpira wa mchezo wa miguu
kwalengo kuendeleza uhusiano wa polisi
shirikishi. Pichani anaonekana Mbunge wa viti malumu mkoa wa Katavi Mh
Dr Prudenciana Kikwembe akimkabidhi Rpc wa Mkoawa Katavi Kamishina
msaidizi wa Jeshi la polisi Dhahiri Kidavashari na aliye simama
pembeni anashuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Mlele Kanali Ngemera Rubinga
makabidhiano hayo yalifanyika mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika
kijiji cha kibaoni Mkoa wa Katavi
0 maoni:
Post a Comment