Sunday, December 2, 2012

TID MNYAMA ADHIHIRISHA UNYAMA WAKE DAR LIVE

Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’ akikamua kwa hisia kali ndani ya Dar Live.
Mnyama akivamia jukwaa kwa mbwembwe.
Chid Beenz akiwapeleka puta mashabiki.
Albert Mangwair akidatisha na kibao chake cha enzi hizo, “Mitungiii…mikasiii...”
Mkali wa muziki wa kizazi kipya, Kassim Mganga, akikamua.
Mashabiki wakionesha kufurahia burudani.
Mshiriki wa shindano la Mkali wa Mic, Cosmas Milanzi, akikamua kwenye utangulizi wa shoo ya Mnyama.
Majaji wa kumsaka Mkali wa Mic kutoka kushoto Abby Cool, John Dilinga na Baucher wakiwajibika.
Mkali wa Mic, Said Seif, akiwajibika jukwaani.
Baada ya Wakali wa Mic kumaliza kuchana, wakali wa miondoko ya Mnanda, Dogo Mfaume (katikati), Manyo Lee (kulia) na mwanadada Baby Hance, nao walipagawisha na kundi lao liitwalo Mtu Benga.
Washereheshaji Benjamin Mwanambuu (kushoto) na Pamela Daffa wakinogesha mashabiki jukwaani.
Sehemu ya kundi la mashabiki wakijimwaya. Mashabiki wakiwa na mzuka wa burudani.
MSANII wa kizazi kipya nchini, Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’, usiku wa kuamkia leo amedhihirisha unyama wake baada ya kufanya makamuzi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live katika onesho maalum lililopewa jina la Usiku wa Mnyama. Wasanii wengine walioupamba Usiku wa Mnyama ni Albert Mangwair, Kassim Mganga, Chid Beenz, Wakali wa MIC, na kundi la Mtu Benga likiongozwa na Dogo Mfaume.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU